Tangazo la kuitwa kazini katika ofisi mbalimbali za Serikali (275 WATAKIWA KURIPOTI KAZINI)
275 WATAKIWA KURIPOTI KAZINI
Tafadhali tembelea sehemu ya “Placement” uone Tangazo la kuitwa kazini lililotolewa tarehe 17/5/2021 lenye majina ya Wasailiwa wa kada tofauti wapatao (275) waliofaulu saili mbalimbali zilizoendeshwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ambao wamepangiwa vituo vya kazi katika Ofisi za Umma zifuatazo;-
- Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)
- Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)
- Bodi ya Korosho Tanzania (CBT)
- Taasisi ya Teknolojia Dar Es Salaam (DIT)
- Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE)
- Hospitali ya Kikristo Kilimanjaro (KCMC)
- Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)
- Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
- Wakala wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT)
- Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
- Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA)
- Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA)
- Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
- Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI)
- Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI)
- Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
- Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tari)
- Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)
- Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA)
- Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
- Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
- Mamlaka ya Elimu na Mafunzo (VETA)
- Chuo cha Maji (WI)
- Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
- Wizara ya Maliasili na Utalii
- Wizara ya Fedha na Mipango
- Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
- Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
- Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Mtwara
(MTUWASA)
- Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Tabora
(TUWASA)
- Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
- Tanesco – Kanda ya Dar es Salaam na Pwani
- Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA)
- Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
- Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)
- Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)
- Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)
- Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB)
- Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara na Mbeya
- Halmashauri ya Manispaa ya Musoma
- Halmashauri ya Mji wa Kasulu
- Halmashauri ya Wilaya Ya Bukoba, Bukombe, Busega, Busokelo, Geita, Igunga, Kaliua, Kilwa, Kishapu, Lushoto, Magu, Morogoro, Mpanda, Mwanga, Nanyamba, Urambo, Ngara, Njombe, Nzega, Simanjiro, Singida, Tunduru, Uyui, Wanging’ombe, Kisarawe, Pangani, Bahi na Wilaya ya Same.
No comments