Breking New

MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA ZA HEALTH LABORATORY ASSISTANT, LABORATORY SCIENTIST GRADE II NA LABORATORY TECHNOLOGIST II ULIOFANYIKA TAREHE 26-07-2021

 


Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

No comments