Makosa (9) ya kuepuka wakati wa kuandika CV (Curriculum Vitae)
Makosa (9) ya kuepuka wakati wa kuandika CV (Curriculum Vitae):
1. Epuka kukosea herufi za maneno (spelling)
2. Epuka kubainika umefanya kazi nyingi kwa kipindi kifupi kifupi
3. Epuka kuweka vifupisho bila kuonesha mchanganuo
4. Usiongeze vitu usivyoweza kufanya
5. Epuka kuweka namba za wadhamini ambazo hazipatikani
6. Usisahau kuweka mawasiliano yako
7. Epuka kuiga CV ya mtu mwingine au kukopi mitandaoni
8. Epuka kuandika wasifu usioendana na matakwa ya kazi
9. Panga kurasa kwa kufuata mtiririko
No comments